Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi trovare il testo della canzone Pendeka, artista - Boutross
Data di rilascio: 29.04.2020
Linguaggio delle canzoni: inglese
Pendeka |
Nilicheki ukidondosa, nikakutokea ukanitoroka |
Sahii baby unanisorora, sitakuchorea hata ukikoroga |
Coz I need you in my bed tonight, we gonna sex alright |
Leave you paralyzed, I know you kinda obsessed with me |
Word on the street is that you sexing me |
Saa unanivuta, wanichemsha unavyojigusa |
Nikisogea shika ukuta, nionyeshe chenye mama alikupa |
You know im the man to be, the one to bring you your fantasy |
Girl you bettr stop testing me, wajua nakupenda why you ignoring this |
Ukipndwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya) |
Me siwezi tosheka (ayayaya), na siwezi kuruka (ayayaya) |
Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya) |
Me siwezi tosheka (mmh), na siwezi kuruka (ayaya) |
Naomba unisikize, I know this cant be easy |
But before uniulize, Ill stack up and tell you whats going on |
Siseme hunipendi, but I cant say im convinced |
Sisemi me huniwezi, Just don’t wanna risk my feelings |
Nimeshaumia tayari na sitaki marudio |
Id rather be honest, than keep it on the low sio |
Lakini endelea hivyo hivyo wanasema pole pole ndio mwendo |
So maybe with a little bit of patience you can check off all the boxes kwenye |
check list |
Ukipendwa pendeka (mmh) |
Penzi lako utanipa, (ayayaya) |
Me siwezi tosheka (ayayaya) |
Na siwezi kuruka (ayayaya) |
Ukipendwa pendeka (mmh) |
Penzi lako utanipa, (ayayaya) |
Me siwezi tosheka (mmh) |
Na siwezi kuruka (ayaya) |
Ukipendwa pendeka (mmh) |
Penzi lako utanipa, (ayayaya) |
Me siwezi tosheka (ayayaya) |
Na siwezi kuruka (ayayaya) |
Ukipendwa pendeka (mmh) |
Penzi lako utanipa, (ayayaya) |
Me siwezi tosheka (mmh) |
Na siwezi kuruka (ayaya) |