
Data di rilascio: 08.03.2021
Linguaggio delle canzoni: Swahili
Hodari |
Shombe shombe |
Mtoto laini laini |
Anawaka waka |
Wanga wape vidonge |
Nimebaini baini |
Wana tapa tapa |
Mi nawe mpaka kiama |
Tuombe uzima |
Waroge kwa kuchutama |
Na wasimame wima |
Kamwe hawatopata mwanya |
Habithi fitina |
Wapike mabilinganya |
Si tutoke dinner |
Nalegea |
Ukintazama yako macho |
Yako macho |
Nalegea |
Ikigusana yangu na yako |
Yangu na yako |
Katoto hodari |
Hodari wa mapenzi |
Jamani hodari |
Hodari wa mapenzi |
Kwa michezo ya chumbani, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Mtundu kitandani, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Katoto nykanga kamemzidi somo na kungwi |
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi |
Nisakata makiriri |
Kuniwasha ka pilipili |
Fundi haswa amekithiri |
Kunipa nilewe |
Kwasa kwasa ndani bingiri |
Za kukata saga kachiri |
Nani haswa unafikiri |
Kama si wewe |
Nichezeshe kidaruso usiku wa manane |
Vanga |
Nikande kipanda uso tufunikane |
Kanga |
Nipitishe boda la uko tutakutane |
Tanga |
Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka |
Nalegea |
Ukintazama yako macho |
Yako macho |
Nalegea |
Ikigusana yangu na yako |
Yangu na yako |
Katoto hodari |
Hodari wa mapenzi |
Jamani hodari |
Hodari wa mapenzi |
Kiueno kunengua, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Bidu kujibidua, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Wema Sepetu hodari |
Hodari wa mapenzi |
Uwoya hodari |
Hodari wa mapenzi |
Mama Cookie hodari |
Hodari wa mapenzi |
Mama Dangote, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Jack Wolper, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Zari Mama Tiffah, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Esma Khan, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Elizabeth Michael, hodari |
Hodari wa mapenzi |
Nome | Anno |
---|---|
Baikoko ft. Diamond Platnumz | 2021 |
Shida | 2018 |
Sina Nyota | 2020 |
Watakubali | 2018 |
Ate | 2019 |
Alele | 2018 |
Tamba | 2020 |