
Data di rilascio: 19.04.2018
Limiti di età: 18+
Linguaggio delle canzoni: Swahili
Noma Ni |
Next Year, visionary shit |
(Nother one, nother one) |
Pizzo the what? Pizzo the what? |
King and you know it |
Hit! |
Noma ni niko maganji |
Noma ni we' ni mtiaji |
Noma ni niko Magadi |
Noma ni niko Bacardi |
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi |
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi |
Noma ni hamnibambi |
Noma ni nyi' wote ni mababi |
Chorea OG, UGK wanani-compare na Bun B |
Noma ni niko maganji, nigga |
Noma ni hauna kipaji |
Wallenje doo zina colour clash, ita Peter Marangi |
Daro niko mabangi ita Mr. Matiangi |
Noma niko mangiayi, wewe uko mayai |
Jogoo Road pale Hamza hapo ndio utaniwahi |
Kujeni na ex wangu bado hamskii hamwezi niwahi |
Noma ni mi' baba Tracy |
Noma ni mi' baba Zara |
Noma ni mi' baba Fredi Flacko wakiniona wana-holler |
Noma ni mi' baba Malcom X madame wananidara |
Noma ni uliokoka |
Noma ni niko mogoka |
Noma ni niko maganji |
Noma ni we' ni mtiaji |
Noma ni niko Magadi |
Noma ni niko Bacardi |
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi |
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi |
Noma ni niko maganji |
Noma ni we' ni mtiaji |
Noma ni niko Magadi |
Noma ni niko Bacardi |
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi |
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi |
Pizzo the king and you know it |
Pizzo the king and you know it |
Everything I rap about better believe I own it |
Kila nguo mi' hudunga bana better believe I bought it |
Muziki ni ndondi boxing |
After Chrisi ni Boxing |
Mayweather nikiingia kwa ring ma-punchline hazikosi |
Walianza mwaka na pupa |
Mi' kwa hosi nime-chill tu 'cause |
I’m sick and you know it |
I’m a dick come blow it |
Superstar I’m glowing |
Neck freeze I’m snowing |
Hizo chocha za ku-rap faster buda joh come slowly |
Niki-spit ebola |
Kwenye street mi' baller |
Nawaacha na mixed feelings bana wamekuwa bipolar |
We' shillings mi' dollars |
We' shati mi' collar |
Wali-try kuni-call lakini sipatikani Truecaller |
Mwaga tei kwa hii glass |
Funga bao na hii pass |
Noma ni niko maganji |
Noma ni we' ni mtiaji |
Noma ni niko Magadi |
Noma ni niko Bacardi |
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi |
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi |
Noma ni niko maganji |
Noma ni we' ni mtiaji |
Noma ni niko Magadi |
Noma ni niko Bacardi |
Noma ni mi' si refugee lakini saa hii bana siko kwa kambi |
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi |
Nomare three comas kwa salary |
Nomare watoi shule maze bila bursary |
Nomare relationship niliachia bandari |
Nomare New York ndio mi' hupeleka mahari (hey) |
'Na cook up mi' mpishi |
Wana look up nikidishi |
Ki E-Sir hamnitishi |
Na tena hamnilishi |
Niliwapeleka kaburini so wanajua ni mazishi |
Na kwa hio matanga yenu bana huskii bado tutadishi |
King, swing |
Bling, clean |
Swag, mean |
Grand, mill |
Na hawa ndio wata ni-copy 'cause boss mi' ndio chopi |
Niache rap nianze kuimba bado hamniwezi |
Muache rap muanze kuiba afande hawa ni wezi |
Kwa street niko na choppa |
Kwa sky niko na chopper |
Competition ni ya watu watatu — me, myself and I |
We' ka' bado una-hate on Octopizzo kill yourself and die |
Noma ni niko maganji |
Noma ni we' ni mtiaji |
Noma ni niko Magadi |
Noma ni niko Bacardi |
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi |
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi |
Noma ni niko maganji |
Noma ni we' ni mtiaji |
Noma ni niko Magadi |
Noma ni niko Bacardi |
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi |
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi |
8 Town King, nigga |
Nome | Anno |
---|---|
Another Day | 2020 |
Nikupate | 2020 |
Blackstar | 2014 |
Zikishika | 2019 |
Pull Up | 2017 |
Could Be Us | 2015 |
Bila Mic | 2014 |
Young Puffy | 2018 |
Che Che ft. Barak Jacuzzi | 2020 |
$ing Along | 2017 |
Utanisho | 2016 |
On Top | 2014 |
Red Namba Plate | 2018 |