Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi trovare il testo della canzone Tetema, artista - Rayvanny.
Data di rilascio: 08.08.2019
Linguaggio delle canzoni: Swahili
Tetema |
Tetema!!! |
Yani kama umepigwa shoti |
Tetema!!! |
Nipe migandisho ya roboti |
Tetema!!! |
Ukutani hadi kwenye kochi |
Tetema!!! |
Kwenye giza mama shika tochi |
Katoto kamenoga (Oooh mama) |
Kukapa ndizi za bukoba (Oooh mama) |
Nakapandisha bodaboda (Oooh mama) |
Kakichoka kuchuma mboga (Oooh mama) |
Aiiii!!! mama! shigidi! (Aaaaah!) |
Nakufa!!! hoi! wikidi! (Aaaah!) |
Aiii!!! mama! shigidi! konki!!! |
Fire! moto! liquid!!! |
Haya twende tetema (Oooh mama tetema) |
Tipwa tipwa tetema (Oooh mama tetema) |
Haya twende tetema (Oooh mama tetema) |
Shuka chini tetema (Oooh mama tetema) |
Haya twende tetema (Oooh mama tetema) |
Tipwa tipwa tetema (Oooh mama tetema) |
Haya twende tetema (Oooh mama tetema) |
Shuka chini tetema (Oooh mama tetema) |
Tetema!!! |
Yani kama vile generator |
Tetema!!! |
Kama mwizi kakupiga ngeta |
Tetema!!! |
Mwendo wa kutwanga kupepeta |
Tetema!!! |
Chini nikipuliza tarumbeta |
Asa wozza doza |
Cheza shogoloza |
Kufa chali kama mende |
Maria Rosa doza tungi limekoza |
Twende nikupige nyembe |
Mmmmmbbbrr ok!!! |
You make my mind go kolo (Kolooo Kolooo) |
Ukinuna tu mie doro (Doroooo Dorooo) |
Washa!!! |
Sa nipe za digi digi |
Washa!!! |
Miuno ya Gigi Gigi |
Washa!!! |
Funga kibindo mkwiji kwiji |
Washa!!! |
Nikunyonge ka zigi zigi |
Teeete!!! |
Oooh mama tetema |
Tipwa tipwa tetema (Oooh mama tetema) |
Haya twende tetema (Oooh mama tetema) |
Shuka chini tetema (Oooh mama tetema) |
Haya twende tetema (Oooh mama tetema) |
Tipwa tipwa tetema (Oooh mama tetema) |
Haya twende tetema (Oooh mama tetema) |
Shuka chini tetema (Oooh mama tetema) |
Chiiiiiii!!! |
Kichaaa kime (Kime kimempanda) |
Amewehuka (Kime kimempanda) |
Kapandisha mizuka (Kime kimempanda) |
Anaruka ruka (Kime kimempanda mamaaaaa!) |
Kichaa kime (Kime kimempanda) |
Kapanda juu ya meza (Kime kimempanda) |
Eti anavua shati (Kime kimempanda) |
Kalewa anacheza (Kime kimempanda) |
Yani varangati |