Testo Honey - Rayvanny, Ray C

Honey - Rayvanny, Ray C
Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi leggere il testo della canzone Honey , di -Rayvanny
Canzone dall'album: Flowers II
Nel genere:Африканская музыка
Data di rilascio:09.02.2022
Etichetta discografica:Ziiki Media

Seleziona la lingua in cui tradurre:

Honey
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything
Ananiamsha kwa mabusu mabusu
Mama ananipa massage ya mwili kwa chuchu
Nyama ananipa biriani upaja wa kuku
Jamaa mbuzi kaja zizini simba na Zuchu
Na wanune wanune wanune
Na iwaume wakose cha kusema paka shume
Najua inawachoma choma kushinda pini
Wanatamani ndo wangekuwa mimi
Unavyonipa joto centigrade tisini
Aah raha
Najichanganya hiliki na mdalasini
Lowesha nguo nisiende kazini
Nkichafuka nifute kwa ulimi
Aaah raha raha
Ooh oooh… oooh
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything
Yeah yeah yeah yeah…
Yeah yeah yeah yeah…
Mapenzi ni kama upepo
Unavuma ukipepea mioyo yetu
Umevumini kwetu vicheko
Wameona ununa hizo sio shida zetu
Na wanune, wanune wanune
Na wanune hawakosi cha kusema paka shume
Si umuache, wacha tukusaidie
So tukonaye, acha tukusaidie
Mlisema wa nini, acha tukusaidie
Acha tukusaidie
Ukasema umemchoka, acha tukusaidie
Leo macho yanakutoka, acha tukusaidie
Mnanuna nini wewe, acha tukusaidie
Oooh, oooh, oooh…
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything

Scrivi cosa pensi del testo!

Altre canzoni dell'artista: