| Kichwa wanipasua, unanichapa fimbo |
| Moyoni napata tabu |
| Unajishaua unamalingo |
| Kama una sura ya Dhahabu |
| Ni miaka sasa nakufata |
| Ndala zangu zote umekata |
| Kutoka tegeta hadi tabata |
| Mpaka visigino vimechacha |
| Mara nasikia kuna bakari kinyozi |
| Ulishampa Hadi kaka yake Rose |
| Kwani we ni pilipili unitoe machozi |
| Nikikufata waniletea mapozi |
|
| Mapenzi uvumilivu unajua |
| Ila kwako numeshidwa |
| Upendo sasa majivu umeungua |
| Basi mama we ndo Bima |
|
| Oooh mamy looh (Sikupendi) |
| Utanitoa roho (Sikupendi) |
| Kila siku jibu lako no (Sikupendi) |
| Sikutamani ng'o (Sikupendi ) |
| Naonyesha dhahili (Sikupendi) |
| Sikutamani tena (Sikupendi) |
| Nimeghaili (Sikupendi) |
| Na kwen siji tena (Sikupendi) |
|
| Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu |
| Kila mambo nikiset |
| Nimegeuka mlinzi nyumbani kwenu |
| Kila siku kwenye geti |
| Nilikufata mpaka kigogo |
| Kwenye shughuri yake mama Asha Modo |
| Ukanitukana matusi nina shobo |
| Pembeni yupo bwana yako Bengo Chogo |
| Akanitimba migumi kede kede |
| Nikawa mjinga tena bwege bwege |
| Kama nimetinga pombe bege bege |
| Alinishinda nikawa lege lege |
| Heee eeeh |
| Nakata tamaa kuwa nawe |
| Nikirudisha kumbukumbu |
| Nilipo kuona na masawe |
| Kwenye guest ya manungu |
| Ulifanya nipagawe |
| Kwa mawazo na uchungu |
| Nilikesha nje oh mama wee |
| Nikawa chakula cha mbu |
|
| Mapenzi uvumilivu unajua |
| Ila kwako numeshidwa |
| Upendo sasa majivu umeungua |
| Basi mama we ndo Bima |
|
| Oooh mamy looh (Sikupendi) |
| Utanitoa roho (Sikupendi) |
| Kila siku jibu lako no (Sikupendi) |
| Sikutamani ng'o (Sikupendi ) |
| Naonyesha dhahili (Sikupendi) |
| Sikutamani tena (Sikupendi) |
| Nimeghaili (Sikupendi) |
| Na kwen siji tena (Sikupendi) |
| Oooh mamy looh (Sikupendi) |
| Utanitoa roho (Sikupendi) |
| Kila siku jibu lako no (Sikupendi) |
| Sikutamani ng'o (Sikupendi ) |
| Naonyesha dhahili (Sikupendi) |
| Sikutamani tena (Sikupendi) |
| Nimeghaili (Sikupendi) |
| Na kwen siji tena (Sikupendi) |
|