Testo Baba Lao - Diamond Platnumz

Baba Lao - Diamond Platnumz
Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi leggere il testo della canzone Baba Lao , di -Diamond Platnumz
Nel genere:Поп
Data di rilascio:07.11.2019
Lingua della canzone:Swahili

Seleziona la lingua in cui tradurre:

Baba Lao
S2kizzy baby!
Ayoo Lizer
Dangote baba lao (Baba lao)
Simba baba lao (Baba lao)
Chibu baba lao (Baba lao)
Mondi baba lao (Baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (Baba lao)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Makonda baba lao (Baba lao)
Wasafi chama lao
Ngoma kwa ngoma ni kopo koko
Leo ndani twakesha popo
Waiter tasambazia moko moko
Moja baridi, Moja moto
Mmechoka eti? (Aaah! Wapi)
Mnataka lala? (Aaah! Wapi)
Tungi limezidi? (Aaah! Wapi)
Tuzime muziki??(Aaah! Wapi)
Asa twende kisamugile, sambamba, Hapo vipi inabamba?
Inogile inatamba, basi chanika musamba
Eeeh! Wataweza kweli? (Aaah! Wapi)
Kushindana nasi? (Aaah! Wapi)
Hata wakiungana? (Aaah! Wapi)
Matusi kututukana? (Aaah! Wapi)
Dangote baba lao (Baba lao)
Simba baba lao (Baba lao)
Chibu baba lao (Baba lao)
Mondi baba lao (Baba lao)
Eeeh Zombie (Baba lao)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Mwakyembe baba lao (Baba lao)
Wasafi chama lao
Hajib selema, Adija Selema (Selema)
Mondi nyangema, Shimo ametema (ametema)
Amefosi bifu mseleleko (Eeeh! Tumemkwepa)
Amebaki masononeko (Eeeh! Wanamcheka)
Kwanza kunja goti (Lee kunja goti)
Kisha vua shati (Eeeh vua shati)
Cheza kama monkey (Aiii!)
Vunja ukidanki danki
Eeeh! Tumewachapa (Kidude)
Hakichomoki (Kidude)
Kimewanasa (Kidude)
Wanatapatapa (Kidude)
Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eeeh!
Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eeeh!
Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eeeh!
Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eeeh!
Dangote baba lao (Baba lao)
Simba baba lao (Baba lao)
Chibu baba lao (Baba lao)
Mondi baba lao (Baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (Baba lao)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Majaliwa baba lao (Baba lao)
Wasafi chama lao
Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo)
Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo)
Jamani navua (acha uongo)
Mama navua (acha uongo)
Mwenzenu navua (acha uongo)
Eeeeh! Kuna Basata
Basi napiga Yope (Huwezi)
Ooooh! Napiga Yope (Huwezi)
Iyobo napiga Yope (Huwezi)
Mi napiga Yope (Huwezi)
Eeeeh X12
Tale napiga Yope (Huwezi)
Mi napiga Yope (Huwezi)
Momo napiga Yope (Huwezi)
Fungwe napiga Yope (Huwezi)
Eeeeh X12

Condividi il testo:

Scrivi cosa pensi del testo!

Altre canzoni dell'artista: