Testo Atarudi - Harmonize

Atarudi - Harmonize
Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi leggere il testo della canzone Atarudi , di -Harmonize
Nel genere:Поп
Data di rilascio:19.08.2018
Lingua della canzone:Swahili

Seleziona la lingua in cui tradurre:

Atarudi
Na ye ni mwanadamu, Na dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu, Oooh Zamu, Yangu itafikaa
Siwezi kana damu, Kesho wataja nizika
Ila ningependa afahamu, Haya mateso aloniipa
Mmmh. Tena mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeeh
Kupata foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh
Oooh Oooh Ooooh
Sina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa
Atarudii, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea zawadi
Atarudi, Eeeeh Atarudi mama
Atarudi, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea Zawadi
Atarudiiiiih
Siwezi sema sijui tatizo, Hali yangu duni imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanya maigizo, Mara kumi usingenizalia
Mmmh, Ingali Mapenzi pekee, Ningesema ni changamoto nijifunzee
Ameniacha mpwekeee, Na watoto niwatunze
Eeeh, Ila siwezi laumu, Aaaaaaah, Wenda yupo sawa, Aaaah
Kipato changu kigumu, Aaaaah, Kutwa Bumunda na Kahawa, Aaaah
Eeeh. Ila mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeh
Kupata Foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh
Oooh Oooh Ooooh
Sina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameiaga kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa
Atarudii, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea zawadi
Atarudi, Eeeeh Atarudi mama
Atarudi, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea Zawadi
Atarudiiiiih
Ohh My God It’s Beta Sound

Scrivi cosa pensi del testo!

Altre canzoni dell'artista:

Nuovi testi e traduzioni sul sito: