Testo Niteke - Maua Sama, Harmonize

Niteke - Maua Sama, Harmonize
Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi leggere il testo della canzone Niteke , di -Maua Sama
Nel genere:Африканская музыка
Data di rilascio:21.10.2019
Lingua della canzone:Swahili

Seleziona la lingua in cui tradurre:

Niteke
Konde Boy
Heheheh. Genius
Mmmmh
I want to keep you, I no go let you go
Nishafunga na zipu, Kwingine nishasema No
Acha nikusiifu, Uzuri wa nyumba choo
Na ulivyo nadhifu, Sipati vidonda vya koo
Eeeh
If you leave me I go die, I go die ma bebe
Na ukinipenda ntajidai, Ntajidai ma bebe
Ooooh Ohooo Ohoo
Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
Eeeeeh Eheee Ehee
Kivumbi na jasho wawili, Wawili kwenye mashika mashika
Asa bebi nite. Uniteke, uniteke
Nicheke kama mtoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
Bebi (Ahh) hapo ndo penyewe, Uniteke, Chii uniteke
Ninenepe kama Mpoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
Mmmmh
Macho yake nungunungu, akinitazama
Nami nageuka nungunungu, Miba inasimama
Macho yake nungunungu, akinitazama
Nami nageuka nungunungu, Miba inasimama
Eeeh
Fanya wazi unachotaka, Zidisha kunipenda
Kuna paparazi na basata, Tusichapane madenda
Ooooh Ohooo Ohoo
Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
Eeeeeh Eheee Ehee
Kivumbi na jasho wawili, Wawili kwenye mashika mashika
Asa bebi nite. Uniteke, uniteke
Nicheke kama mtoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
Bebi (Ahhh) hapo ndo penyewe, Uniteke, Uniteke
Ninenepe kama Mpoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
Asa bebi mi nataka nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Yaani pinda nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Ooh nishikilie nami nikugande, Pindaa, Pinda (Mi napinda mugongo) Pindaa
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
Chiiii
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande

Scrivi cosa pensi del testo!

Altre canzoni dell'artista:

Nuovi testi e traduzioni sul sito: