Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi trovare il testo della canzone Sugua, artista - Jux
Data di rilascio: 31.10.2019
Linguaggio delle canzoni: Swahili
Sugua |
Sensima |
Mtoto mpe funguo za bima |
Kanitoa Bongo nimefika mpaka China |
Toto, Zipu ka kishungi nimezima |
Kamenipa lunch nimekula mpaka dinner, yeah |
Santana, santana (guitar) |
Kitandani maji maji yanapambana (vita) |
Kana inama, kana inama |
Kanavyo iokota kama maua sama |
Paka rukwili kwili siko peshi (siko peshi) |
Namlipa mbili mbili sina breki (sina breki) |
Nakadudisha mwili kitenesi (kitenesi) |
Kamenikiri kiri mara murder case |
Asa nionyeshe alichokupa mama |
Sugua! Sugua! Sugua! |
Sugu, sugu, sugu (mama wee) |
Sugua (ahaahaaa) |
Sugua (ahaahaaa) |
Sugua (ahaahaaa) |
Sugu, sugu, sugu |
Tai! Ungepanda pini pini ama kitoto |
Nikupe kwa chini chini ama kwe ngoko |
Goli sabini bini ama kimako |
Chenga mwilini lini Johnny Boko |
Mbbbrrrookkke! |
Udi, udi udi udi (udi) |
Katoto kako good good good (good) |
Mood, mood mood mood (mood) |
Navyo katafuna kama food |
Oya katoto yani do salale (eeh, do salale) |
Nakapa fishi kambale (eeh, wa kambale) |
Whoo! Kibidu bidua (oh, bidua) |
Pindu pindua (oh, pindua) |
Yani naka chimbu chimbua (oh, chimbua) |
Nambandika bandua, oh, dada de |
Yani kama gaga limekwama kwenye guu |
Sugua! Sugua! Sugua! |
Sugu, sugu, sugu (mama wee) |
Sugua (ahaahaaa) |
Sugua (ahaahaaa) |
Sugua (ahaahaaa) |
Sugu, sugu, sugu (mama wee) |
Oya baby, wakiweka unaweka (weka tuone) |
Ukichomoa nachomeka (weka tuone) |
Weka weka weka mpaka down (weka tuone) |
Komesha watoto wa town (weka tuone) |
Fanya kama unasusa (weka tuone) |
Nisogezee kisambusa (weka tuone) |
Weka weka weka mpaka down (weka tuone) |
Nikomesha watoto wa town (weka tuone) |