| Milele Mwanadada Nikifa Unizike |
| Kutoka kwenye Uvungu Wa Moyo Wangu |
| Natamka niwewee |
| Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama |
| Mfariji pekee nikimwaga chozi langu mama (Niweweee) |
| Imenishinda siri Kifuani Mwangu (Aaaah aaah) |
| Nikupeleke Nyumbani kwetu Sheri eeeh |
| Ukawajue Na Ndugu zangu mama aaah |
| Unipeleke Nyumbani kwenu Bibi weweee |
| Nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah |
| Siri Yanini (Siri) |
| Nini Maaana Yake oooh (Siri) |
| Siri ya niiini (Siri) |
| Nini hasara zake (Siri) |
| Siri oooh siri Mapenzi ya siri iiiiiiih |
| Ooooh Mama lolooooh. |
| Ooooh Mama lolooooh. |
| Ooooh Mama lolooooh. |
| Eeh Mama |
| Nipe Utamu kabla Ujatamka Usingizi |
| Si come Mpaka tukiamka Ni series |
| Kakonko twende kamara kibirizi |
| Mapaja Yake utamu Michirizi |
| Michepuko imenuna Imezila siri siri |
| Na wee ni kachumbali Mayonnaise Pili pili |
| Pili pili Manga Tunakilikili wanga |
| Kilimanjaro Nyumbani kwetu kisimili mwanga |
| Si mama Nikk Simama Wima |
| Siri Ya Mapenzi Nikufikishe kwa Kina |
| Umebeba beba |
| Mkungu Wa Muleba |
| Uchungu kama kwao wakajifungue leba |
| Umebeba beba |
| Mkungu Wa Muleba |
| Uchungu kama kwao wakajifungue leba |
| Ooooh Mama lolooooh. |
| Mama lolo kwako sijiwezi |
| Ooooh Mama lolooooh. |
| Sitoficha Mdudu Mapenzi |
| Ooooh Mama lolooooh. |
| Mama lolooooh. |
| Kwako sijiwezi |
| Ooooh Mama lolooooh. |
| Mama loloooooo oooooh ooh |
| Kwenye kamoyo mi sina (Siri) |
| Je nikutaje ka jina (Siri) |
| Wajue wenye fitina (Siri) |
| Jembe Nipo Nalima (Siri) |
| Basi Nawe Usifiche maaa… (Siri) |
| Sema Watupishe naaa… (Siri) |
| Vichefuchefu Watapishe Naaa… (Siri) |
| Penzi letu lisiishe m mi Na wewee… (Siri) |
| Owe owe oweoooo owe owe owaa |
| Owe owe oweoooo owe owe owaa |
| Siri Yanini (Owe owe oweoooo owe owe owaa) |
| Nini Maaana Yake (Owe owe oweoooo owe owe owaa) |
| Siri ya niiini (Owe owe oweoooo owe owe owaa) |
| Nini hasara zake (Owe owe oweoooo owe owe owaa) |