![Wanaweweseka - Rayvanny](https://cdn.muztext.com/i/32847569400653925347.jpg)
Data di rilascio: 09.02.2022
Linguaggio delle canzoni: Swahili
Wanaweweseka |
Wenye wivu wasijinyonge |
Ila wapigwe shoti wafe |
King’asti wangu yupo hapa hapa |
Usinishike bega niache |
Nakupa yote mung’unya utamu wa pipi mate |
Babe kwa mapenzi uko chuo |
Hauko tena kindergarten |
Marashi ya pemba |
Amechanganya na tanga |
Mtoto kama saida karoli |
Anavyochambua karanga… |
Na simuachi nampenda ye pete mi chanda… |
L.O.V.E. (I love you) kama kassim mganga… |
Presha inapanda, presha inashuka |
Wanaovimba watapasuka |
Nikikupost namba insta patachafuka |
Watatamani kuhack waje kufuta hao… |
Leleleeeeee |
Wanaweweseka hao! (wanakopa bando watuperuzi) |
Wanaweweseka hao! |
Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwauzi) |
Wanaweweseka hao! |
Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi) |
Wanaweweseka hao! |
Ndege, tausi, maringo na tegeeee |
Umbo kifusi, nyuma kishindo… |
Nikubebeeeee, wenye chuki wakate shingo… |
Sitaki rede mi nabunduki na weka lindo… |
Udongo gani? ulo kufinyanga mwali wewe |
Mganga gani, alopiga manyanga mwali weee… |
Majungu si mtaji (ayayayaaa) |
Maneno sio radi (ayayayaaa) |
Jasho linawatoka maji (I love you daddy) |
Marashi ya pemba, amechanganya na tanga |
Mtoto kama saida karoli, anavyochambua karanga… |
Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda… |
L.O.V.E. (I love you) kama kassim mganga… |
Presha inapanda, presha inashuka |
Wanaovimba watapasuka |
Nikikupost namba insta patachafuka |
Watatamani kuhack waje kufuta hao… |
Leleleeeeee |
Wanawewesena hao! (wanakopa bando watuperuzi) |
Wanaweweseka hao! |
Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwauzi) |
Wanaweweseka hao! |
Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi) |
Wanaweweseka hao! |
Nome | Anno |
---|---|
Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
Naogopa | 2020 |
Party | 2021 |
Tekenya Remix | 2020 |
Chuchumaa | 2019 |
Number One ft. Zuchu | 2020 |
Come | 2021 |
Rara | 2021 |
One Two | 2021 |
Teamo ft. Messias Maricoa | 2020 |
I Miss You ft. Zuchu | 2022 |
Jollof On The Jet ft. Rema, Rayvanny | 2020 |
Natafuta Kiki | 2016 |
Unaibiwa | 2017 |
Mama La Mama ft. Mr Blue | 2020 |
Chombo | 2018 |
Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
Baila | 2021 |
Ngongingo | 2020 |
Happy Birthday | 2021 |