Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi leggere il testo della canzone Nalia Na Mengi , di - Diamond Platnumz. Data di rilascio: 27.11.2013
Lingua della canzone: Swahili
Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi leggere il testo della canzone Nalia Na Mengi , di - Diamond Platnumz. Nalia Na Mengi |
| Mi niliambiwa mapenzi ni kama bahari |
| Ukishazama ndo basi umepotea |
| Kumbe mwenzangu alikuwa anatamani |
| Badala ya kuzama mi kwangu akaelea |
| Akawa ananidanganya |
| Nikiwa nadhani ananipenda sana |
| Mikwanja nikamwaga mama |
| Japo sio kivile la kuongea maana |
| Akawa ananidanganya |
| Nikiwa nadhani ananipenda sana |
| Mbona mifedha nikamwaga mama |
| Japo sio kivile ila hakuongea maana |
| Wakaja wajinga wakamchukua |
| Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua |
| Wajinga wakamchukua |
| Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua, ayayaya… |
| Usinione nalia (rrah) |
| Usinione nalia (rrah) |
| Mwenzenu nalia na mengi |
| Usinione nalia (rrah) |
| Naila… (rrah) |
| Sababu ya mapenzi |
| Usinione nalia (rrah) |
| Nalia… (rrah) |
| Nalia na mengi |
| Ooh, jamani nalia (rrah) |
| Nalia… (rrah) |
| Sababu ya mapenzi |
| Najua alimaanisha kuwa simfai |
| Ila lakini angesema |
| Kuliko alichofanya mi akantoa nishai |
| Akanimeza akanitema |
| Nyie mapenzi yanauma vibaya |
| Vibaya, vibaya |
| Mmmh, mapenzi yanauma vibaya |
| Vibaya, vibaya… |
| Ile gafra safari |
| Ndio inanifanya na usingizi sipati |
| Huwa nakumbuka mbali |
| Hasa nikisikia harufu yake ya marashi |
| Mi kwa chungu nilivyoumia |
| Nikaandika hili song la mwondoko nalia |
| Na voko nikaingiza kwa hisia na imani |
| Ipo siku nyimbo itamfika |
| Mi kwa uchungu nilivyoumia mie |
| Nikaandika song la mwondoko nalia |
| Na voko nikaingiza kwa hisia na imani |
| Ipo siku nyimbo itamfikia, ayayaya… |
| Usinione nalia (rrah) |
| Usinione nalia (rrah) |
| Mwenzenu nalia na mengi |
| Usinione nalia (rrah) |
| Naila… (rrah) |
| Sababu ya mapenzi |
| Usinione nalia (rrah) |
| Nalia… (rrah) |
| Nalia na mengi (ye, yeah) |
| Ooh, jamani nalia (ye, ye) |
| Nalia… (rrah) |
| Sababu ya mapenzi |
| Usinione nakosa raha mama na lala ma kwako mara kadhaa |
| We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa |
| Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa |
| Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa |
| Nwenu wezi wakung’ang’anie ninung’unike nilie |
| Nija yetu mmoja niache nipite si ukasimulie |
| Mama ya kinyamwezi na swaga zako juu |
| Na miguu napata picha kitandani kungfu |
| Uko juu ukipita lazima wasome namba |
| We ndo mfano hata unajua neno pamba sifaa |
| Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba |
| Mikogo kila leo ntajigamba |
| Nusonge kisela piga teke inauma |
| Usiombe mapenzi yakupige teke inauma |
| Usiombe mapenzi yakupige teke, eh |
| Bounce |
| Usinione nalia (rrah) |
| Usinione nalia (rrah) |
| Mwenzenu nalia na mengi |
| Usinione nalia (rrah) |
| Naila… (rrah) |
| Sababu ya mapenzi |
| Usinione nalia (rrah) |
| Nalia… (rrah) |
| Nalia na mengi |
| Ooh, jamani nalia (rrah) |
| Nalia… (rrah) |
| Sababu ya mapenzi |
| Ah ah ah ah ah ah ah |
| Ah |
| Ah |
| Oh oh oh oh oh oh oh |
| Oh |
| Oh |
| Ah ah ah ah ah ah ah |
| Ah |
| Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah |
| Ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji |
| Nome | Anno |
|---|---|
| Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Shu! | 2023 |
| Kamata | 2021 |
| Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
| Jeje | 2020 |
| African Beauty ft. Omarion | 2018 |
| Gidi | 2022 |
| Baikoko ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| Penzi ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Yo Pe ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| IYO ft. Focalistic | 2021 |
| Gimmie ft. Rema | 2021 |
| Inama ft. Fally Ipupa | 2019 |
| Love You Die ft. Patoranking | 2017 |
| Waah! ft. Koffi Olomide | 2020 |
| Katika ft. Diamond Platnumz | 2018 |
| Haunisumbui | 2022 |
| Baba Lao | 2019 |
| Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
| Kidogo ft. P Square, P-Square | 2018 |