Testi Kesho - Diamond Platnumz

Kesho - Diamond Platnumz
Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi trovare il testo della canzone Kesho, artista - Diamond Platnumz.
Data di rilascio: 25.11.2014
Linguaggio delle canzoni: Swahili

Kesho

=i> Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende ukamuone mama x2
=I> Kwanza kabisa ntanyonga Tai
T"shirt na Jeans ntatupa kidogo.
Unite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo…
Naukifika uagize Chai
Savanna Takila uzipe kisogo…
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeza ila za Hekima Logo…
=I> Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2
=I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2
Usilete swaga za Nainai
Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo.
Eti shoping twende Tai
wakati Dadaangu anaduka kigogo.
Ukikuta Nguna usikatae
we zuga unapenda hata kama wa Muhogo.
Kuhusu kabila mbona Sadai
Mama angu hana noma hata kama Mgogo
=I> Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2
=I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2
Mama yangu mama…
Mama Naseeb mama…
Mama Diamond mama…
Mama yangu nyumbani…
Mama Chali mama…
Mama Sepetu mama…
Mama Kidoti mama…
Kwa mama Diamond nyumbani…
=I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2

Condividi testi:

Scrivi cosa ne pensi dei testi!

Altre canzoni dell'artista:

NomeAnno
Tetema ft. Diamond Platnumz 2019
Shu! 2023
Kamata 2021
Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz 2019
Jeje 2020
African Beauty ft. Omarion 2018
Gidi 2022
Baikoko ft. Diamond Platnumz 2021
Penzi ft. Diamond Platnumz 2019
Yo Pe ft. Diamond Platnumz 2021
IYO ft. Focalistic 2021
Gimmie ft. Rema 2021
Inama ft. Fally Ipupa 2019
Love You Die ft. Patoranking 2017
Waah! ft. Koffi Olomide 2020
Katika ft. Diamond Platnumz 2018
Haunisumbui 2022
Baba Lao 2019
Amaboko ft. Diamond Platnumz 2020
Kidogo ft. P Square, P-Square 2018

Testi dell'artista: Diamond Platnumz