
Data di rilascio: 06.11.2019
Linguaggio delle canzoni: Swahili
Saula |
Mwenzako jicho chongo |
Kwa mwengine sioni tena |
Umenipa magongo nitembee |
Niache kuchechema |
Tujiepushe na waongo |
Hawakosagi cha kusema |
Ulinzi nguzo chuma dongo |
Penzi tuezeke na mahema |
Penzi langu la kizigua nakupa taratibu (Aaah eh!) |
Na miuno nainengua washikwe na aibu |
Nazani hawajajua wewe ndo unaniharibu (Aaah eh!) |
Na mwaka huu mbona wataugua wakose wa kuwatibu |
Wewe nipe mambo ya Pwani eti mwenzako nina nenge |
Kanga moja begani uno ulifunge tenge |
Mguu bara mguu Pwani kama unaruka senyenge |
Wee nibinyie kwa ndani nitoke malenge lenge |
Saula!!! (Mambo yaweke hadharani) |
Saula!!! (Kwani unamuogopa nani) |
Saula!!! (Uyaweke hadharani) |
Saula!!! (Kwani unamuogopa nani) |
Kama karata umelamba dume |
Wengine garasa bado (Saula!!!) |
Tikitaka kinyume nyume |
Mashoot kama Ronaldo (Saula!!!) |
Kaliona Jiti kasaula kajitupa kwa kiwanja |
Kibichibichi kaa Paula wa Kajala Masanja |
We nipe nisivyopewa hadi nihisi raha ya dunia |
Nijione mwenye ngekewa mafisi waje ninunia |
Nipost usiogope sasa univizie Mobeto |
Tena mashost na waropokwe tujichimbie magheto |
Wee nipe mambo ya pwani |
Eti Mwenzako nna Nnenge |
Kanga Moja negani uno ulifunge Tenge |
Siku ya kufa Nyani kinyozi kakosa wembe |
Kule Mtwara nyumbani tunaitaga Singenge |
Saula!!! (Mambo yaweke hadharani) |
Saula!!! (Kwani unamuogopa nani) |
Saula!!! (Uyaweke hadharani) |
Saula!!! (Kwani unamuogopa nani) |
Aaah! kibinda (Aaah kibinda nkoe) |
Yeeeeeh!!! (Aaah kibinda nkoe) |
Fanya kujipinda pinda (Aaah kibinda nkoe) |
Eh Yeeeeeh!!! (Aaah kibinda nkoe) |
Cheza Ukiringa ringa (Aaah kibinda nkoe) |
Eeeh! (Aaah kibinda nkoe) |
Zungusha nyonga madoido (Aaah kibinda nkoe) |
Kakupa mama (Aaah kibinda nkoe) |
Uno la Kofi Lomido (Aaah kibinda nkoe) |
Binua bandama (Aaah kibinda nkoe) |
Nome | Anno |
---|---|
Uno | 2019 |
Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
Teacher | 2021 |
Pain ft. Yemi Alade | 2020 |
Kwa Ngwaru ft. Diamond Platnumz | 2018 |
Mwaka Wangu | 2022 |
Magufuli | 2019 |
Bado ft. Diamond Platnumz | 2016 |
Never Give Up | 2019 |
Yanga | 2020 |
Matatizo | 2016 |
Mdomo ft. Ibraah | 2021 |
Single | 2021 |
Inanimaliza ft. Mr. Blue | 2020 |
What Do You Miss | 2021 |
I Can't Stop | 2021 |
One Question | 2021 |
Sandakalawe | 2021 |
Sorry | 2021 |
Outside | 2021 |