Informazioni sulla canzone In questa pagina puoi leggere il testo della canzone Interlude Sauti Sol , di - Sauti Sol. Canzone dall'album Mwanzo, nel genere Музыка мира Data di rilascio: 03.08.2009 Etichetta discografica: Penya Lingua della canzone: Swahili
Interlude Sauti Sol
Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Leta nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake. Huenda akawa Obama atawale Amerika
Huenda akawa Lupita Oscar nazo akashinda
Huenda akawa Wanyama acheze soka uingereza
Huenda akawa Kenyatta mwanzilishi wa taifa
Aaah
Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Leta nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Nitamlea oh ohHuenda akawa Maathai ailinde mazingira